Ufunguzi wa Jengo la ofisi (Jema Elution) Geita-Mpomvu.
Jema Africa Limited ilizindua rasmi ofisi mpya katika eneo la Mpomvu, mkoani Geita, kama sehemu ya juhudi za kupanua huduma na kuzingatia agizo la serikali la kuhamisha shughuli za uchenjuaji madini kutoka maeneo ya makazi ya watu. Kwa maelezo zaidi